
Zamani za kale, wanadamu wote waliishi chini ya bahari. Lakini baadhi yao waliachana na maisha ya chini ya maji na kupoteza uwezo wao wa kupumua majini. Hikari na marafike zake wanabidi waache bahari na kujiunga na shule juu ya ardhi, lakini uhasama kati ya watu wa bahari na ardhi unazidi kuzuka. Je, wataweza kuvumilia dhoruba za maisha yao na kuzuia hatari inayowakabili wote?

Ano Hi Mita Hana no Namae wo Bokutachi wa Mada Shiranai.

Shinsekai yori

Ano Natsu de Matteru

Kokoro Connect

Golden Time

Shigatsu wa Kimi no Uso

Clannad: After Story

Irozuku Sekai no Ashita kara